Back to home
Waziri wa jinsia Hannah Cheptumo apendekeza washukiwa wa dhulma za watoto wafungwe maisha
video
C
Citizen TV (Youtube)November 20, 2025
2h ago
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watoto duniani waziri wa jinsia, utamaduni na huduma kwa watoto Hannah Cheptumo amependekeza marekebisho ya sheria ili washukiwa wa dhuluma dhidi ya watoto wafungwe maisha.





