Back to home

Magavana waishtumu serikali kwa kutowahusisha kwenye utekelezaji wa bima ya afya ya jamii ya SHA

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 20, 2025
2h ago
Mwenyekiti wa baraza la magavana, Ahmed Abdullahi, ameishtumu wizara ya afya kwa kutoshirikiana na serikali za kaunti kwenye utekelezaji wa bima ya afya ya jamii - SHA. Wakizungumza huko naivasha, magavana wa wamesema wizara ya afya inaingilia majukumu ya serikali za kaunti na ku