Back to home

Amnesty yaishtumu serikali kwa kutumia vibaya teknolojia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 20, 2025
1h ago
Kampuni za mawasiliano ya simu zimewekwa kwenye darubini baada ya ripoti ya shirika la amnesty international kuzihusisha na madai ya kusakwa kwa wanaharakati wakati wa maandamano ya mwaka 2024–2025. Katika ripoti yake amnesty inaishutumu serikali ya kenya kwa kutumia teknolojia