Back to home

Walimu wa sekondari msingi waipatia serikali makataa ya ajira

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
1w ago
Walimu wa sekondari msingi JSS katika kaunti ya Tharaka Nithi wametangaza kuwa iwapo serikali haitawapatia ajira ya kudumu hawataingia darasani mwaka ujao.
Advertisement