Back to home

Walimu waanza kupokea huduma kupitia bima ya SHA

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Waalimu tayari wameanza kupata huduma zao za afya kupitia bima ya sha baada ya kukamilisha huduma kupitia bima za kibinafsi hapo jana. Hatua hii sasa ikifunga ukurasa wa zaidi ya muongo mmoja wa ushirikiano na kampuni ya bima ya minet. Tayari baadhi ya walimu wamehamia mfumo huo