Back to home
Mauaji ya wanawake nchini yameongezeka mwaka jana, vijana wakiwa washiriki wakuu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 10, 2025
1d ago
Mauaji ya wanawake nchini yaliongezeka mwaka jana ikilinganishwa na miaka minne iliyopita. Ripoti ya taasisi ya kitaifa ya kuchunguza uhalifu pia ikisema kuwa, vijana wa kuanzia miaka 20 wamekuwa wakihusika na mauaji
Advertisement
Advertisement





