Back to home
Desturi za Waturkana kuhusu ndoa na makabila mengine
video
C
Citizen TV (Youtube)December 15, 2025
3h ago
Na sasa tuangazie mila na desturi za jamii ya Turkana kwenye ndoa inayowahusisha watu wawili wasiokuwa wa jamii moja. Mwanaume anayeona msichana wa jamii hiyo sharti atimize matambiko kadhaa kama vile kuchinjwa kwa fahali maalum na kutenganishwa na bi harusi kwa siku mbili kabla
Advertisement
Advertisement




