Back to home
Mwaka wangu: Mauaji, Kware na Jumaisi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 3, 2026
1d ago
Mwaka wa 2025 ulitajwa kuwa mwaka uliokuwa na visa zaidi vya mauaji ya wanawake, huku takriban kila wiki, vifo vya wanawake waliouawa kwenye dhulma mbalimbali vikiripotiwa. Mojawapo ya visa vilivyogonga vichwa vya habari kwa muda ni kile cha mauaji ya wanawake eneo la quarry mtaa
Advertisement
Advertisement





