Back to home

Namusasi FC ndio mabingwa wa makala ya 9 ya kombe la Hezekiah Otsiula

video
N
NTV Kenya (Youtube)
January 12, 2026
3h ago
Namusasi FC ndio mabingwa wa makala ya 9 ya kombe la Hezekiah Otsiula, baada ya kuwazaba Khasoko FC bao 1 kwa 0 kwenye fainali iliyochezewa katika uwanja wa shule ya msingi ya mungore eneobunge la bumula kaunti ya Bungoma. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan new
Advertisement