Back to home

Kifo cha mwalimu Mukutma

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 16, 2026
2h ago
Familia moja kutoka kijiji cha Mukutma kaunti ya Bomet inalilia haki baada ya mwana wao mwalimu wa JSS, Caroline Ngetich , kuaga dunia wiki moja iliyopita kwa njia tatanishi. Kulingana na dadake, ilikuwa imearifiwa kuwa Caroline Ngetich alikuwa aalifariki baada ya kuteleza na kua
Advertisement