Back to home

Waathiriwa jijini Nairobi waanza maisha yao upya

video
C
Citizen TV (Youtube)
March 8, 2026
1d ago
Shughuli za kawaida zimeanza kurejea kawaida katika maeneo mengi ya Nairobi, ambako maafa ya mafuriko ya Ijumaa usiku yalishuhudiwa. Picha za angani zikionyesha kiwango cha uharibifu huku maji yakiwa bado yamejaa katika baadhi ya maeneo ya mijini.
Advertisement