Back to home
Kaunti ya Nairobi itatenga shilingi bilioni 25 za kuimarisha miundomsingi
video
C
Citizen TV (Youtube)March 10, 2026
2h ago
Kamati maalum ya kuboresha utendakazi wa kaunti ya Nairobi sasa inasema itatenga shilingi bilioni 25 kusaidia katika kushughulikia miundo msingi jijini. Gavana Johnson Sakaja aliyeongoza kikao cha kwanza cha kamati hiyo amesema pesa hizo zitasaidia kushughulikia miundo msingi amb
Advertisement
Advertisement





