Back to home
Serikali ya kitaifa na ya kaunti ya Kitui zajenga hospitali ya Zamba Kitonga
video
C
Citizen TV (Youtube)May 15, 2026
1h ago
Serikali ya Kitaifa kupitia Wizara ya Ulinzi kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Kitui imezindua rasmi ujenzi wa Hospitali ya Kumbukumbu ya Nzamba Kitonga katika Wadi ya Mutitu/Kaliku, Kitui Mashariki.
Advertisement
Advertisement





