Back to home

Familia za watu 4 walioporomokewa na choo Borabu kaunti ya Nyamira zadai haki

video
C
Citizen TV (Youtube)
July 29, 2026
1mo ago
Wakazi, viongozi na familia za watu wanne waliofariki baada ya kuporomokewa na choo katika shule ya msingi ya Chinche kule Borabu kaunti ya Nyamira, wataka uwajibikaji wa mkandarasi husika.
The Online Kenyan Android App

Take Kenya's news with you

Breaking stories, daily briefs, and the topics you follow - on your phone, free.

Get the Kenyan News appFree Android app on Google Play