Back to home

Mwandamanaji aliyejeruhiwa Jumanne atolewa risasi saba

video
June 21, 2025
11 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Samuel Omondi Okoth mwenye umri wa miaka 21 ana matumaini ya kutembea tena baada ya kuponea chupuchupu wakati wa maandamano ya Jumanne. Alipigwa risasi nane za mpira mgongoni, ambapo madaktari katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta wamefaulu kuondoa risasi saba. Ya mwisho, ambay..

Mwandamanaji aliyejeruhiwa Jumanne atolewa risasi saba (Video)