Back to home

Mchuano wa voliboli ya walemavu wang'oa nanga ugani Kasarani, Nairobi

video
July 4, 2025
12 days ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mchuano wa Afrika kwa voliboli ya walemavu umeanza rasmi katika uwanja wa Kasarani hapa Nairobi. Kwa sasa timu ya taifa ya Kenya kwa wanawake inachuana na Rwanda ambazo ndio timu pekee upande wa wanwake. Hii ikimaanisha timu zote mbili zimetinga kwa mchuano wa dunia utakaoandaliw..