Back to homeWatch Original
Vijana wataka serikali iwajibikie masuala yanayowakera
video
July 16, 2025
about 16 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Vijana kaunti ya Taita Taveta wametoa wito kwa serikali za kaunti sawa na ile ya kitaifa kuhakikisha masuala mbalimbali wanayokumbana nayo hasa suala la ukosefu wa ajira linaangaziwa..