Back to homeWatch Original
Serikali yatoa ksh. 4.6b za mpango wa inua jamii
video
August 7, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wizara ya Leba kupitia idara ya ulinzi wa jamii na masuala ya wazee imetoa shilingi bilioni 4.6 za mpango wa inua jamii. Pesa hizo zinakusudiwa kuwafikia wakenya zaidi ya milioni 1.1 walio katika mazingira magumu ...