Back to home

Moto wateketeza eneo la Kuuzia Mbao Diani kaunti ya Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
3h ago
Moto mkubwa umeteketeza eneo la kuuzia mbao katika eneo la Milenium huko Diani Kaunti ya Kwale na kusababisha hasara kubwa usiku wa kuamkia leo.