Back to home
Wahudumu wa bodaboda mjini Nanyuki walalamika Kasoro za pikipiki za elektroniki
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
2h ago
Wahudumu wa bodaboda mjini nanyuki wanaomiliki pikipiki zinazotumia nguvu za umeme wamelalamikia kulaghaiwa na mfanyabiashara mmoja aliyewauzia pikipiki ambazo hazihifadhi chaji kwa muda aliosema.