Back to home
Wanafunzi wa vyuo vikuu watishia kuandamana iwapo serikali haitatatua mgomo wa wahadhiri
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
3h ago
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma humu nchini sasa wanatishia kuandamana iwapo serikali haitatatua mgomo wa wahadhiri unaoendelea kwa wiki tatu sasa. Wanafunzi wanalalamikia kusalia bila masomo kufuatia mgomo huo, huku wakitaka suluhu ya haraka kati ya wahadhiri na serik