Back to home
Mwanafunzi wa darasa la nane afariki baada ya kupigwa shuleni Kilifi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
2h ago
Familia moja kijiji cha Junju eneo la Kilifi inamuomboleza mwana wao aliyefariki baada ya kudaiwa kuchapwa na walimu akiwa shuleni. Ripoti ya upasuaji ilionyesha kuwa mwanafunzi huyo wa gredi ya nane katika shule ya Gongoni alifariki baada ya kugongwa kichwani mara kadhaa