Back to home
Wazee walia hali ngumu, waitaka serikali kuongeza marupurupu yao ya uzeeni
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Wazee wanaitaka serikali waongeze marupurupu yao ya kila mwezi chini ya mpango wa inua jamii ili kuwasaidia kukabiliana na hali ngumu ya maisha. Wakiadhimisha siku ya wazee duniani, baadhi yao wamelalamikia dhuluma na kupuuzwa katika miaka yao ya uzeeni