Back to home

Wakulima wadogo wapewa ufadhili wa ksh. 600m kaunti za Embu, Tharaka Nithi, Makueni na Kitui

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 3, 2025
2h ago
Wakulima wadogo zaidi ya laki moja wamenufaika na shilingi milioni mia sita kutoka kwa mpango unaofadhiliwa na shirika lisilo la serikali unaolenga kukuza kilimo endelevu