Back to home
Familia ya Oyoo yairai serikali ya Uganda kumwachilia
video
C
Citizen TV (Youtube)October 10, 2025
4h ago
Familia ya Nicholas Oyoo, mkenya aliyetekwa nyara pamoja na mwenzake Bob Njagi, inaomba serikali ya Uganda kuwaachilia huru. Oyoo na Njagi walitoweka mnamo Oktoba mosi jijini Kampala, na hadi sasa hawajulikani waliko, hali ambayo imezua hofu na wasiwasi katika familia zao. Na kam