Back to home
Kaunti ya Wajir kwa ushirikiano na UNICEF yazindua mpango wa kuboresha elimu jumuishi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 22, 2025
5h ago
Kaunti ya Wajir kwa ushirikiano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, imezindua rasmi mpango wa kuboresha upatikanaji wa elimu jumuishi.