Back to home
Dhuluma za mitandaoni dhidi ya wanawake zimeongezeka katika kaunti ya Kwale
video
C
Citizen TV (Youtube)December 5, 2025
2h ago
Dhuluma za mitandaoni dhidi ya wanawake zimeongezeka katika kaunti ya Kwale . waathiriwa wengi wakiwa wanawake wanaofanya kazi mataifa ya nje kwa kulaghaiwa pesa na marafiki zao wa kiume kwa tishio la kuweka picha zao za siri mitandaoni.





