Back to home
Wanachama wa Strong Man Factory wahitimisha matembezi ya siku 16 kutoka Nairobi hadi Mombasa
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 19, 2025
3h ago
Wanachama wa Strong Man Factory kwa ushirikiano na Shirika la Finishing Well wamehitimisha matembezi ya hisani ya siku 16 kutoka Nairobi hadi Mombasa, yakilenga kuhamasisha ustawi wa wanaume pamoja na kuchangisha fedha za kusaidia shule ya Sasura GS iliyoko Kaunti ya Marsabit.
S
Advertisement
Advertisement





