Back to home

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ahudhuria hafla chuoni Kabarak

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 19, 2025
4h ago
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amepongeza juhudi za Chuo Kikuu cha Kabarak kuwekeza katika umeme wa miale ya jua, akisema hatua hiyo ni njia moja ya kuimarisha matumizi ya nishati ya stima.
Advertisement