Back to home
Mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o alalama
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 19, 2025
3h ago
Mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o a amesema kuanzishwa kwa mfumo wa ununuzi wa serikali mtandaoni kuliharakishwa, na kuzuia matumizi ya fedha za maendeleo, na kuzua wasiwasi kuhusu ucheleweshaji wa kaunti nyingi kupitisha bajeti zao.
Subscribe and watch NTV Kenya live for
Advertisement
Advertisement





