Back to home

Familia zatambua baadhi ya miili ya wanafunzi, uchunguzi wa DNA waendelea

video
C
Citizen TV (Youtube)
May 30, 2026
1h ago
Baadhi ya Familia zilizopoteza wana wao kwenye mkasa wa moto katika shule ya wasichana ya Utumishi, gilgil, sasa zimetambulia miili hiyo na kuwasilisha sampuli za msimbojeni. Uchunguzi wa DNA unaendelea ili kutambua miili ya wale waliotekea zaidi kiasi cha kutotambulika
Advertisement