Back to home

Duale amuonya mmiliki wa Mediheal Swarup Mishra

video
August 1, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri wa Afya Aden Duale ametishia kumfurusha kutoka nchini mmiliki wa Hospitali ya Mediheal, Dkt. Swarup Mishra, kufuatia madai ya kuhusika katika sakata la ulanguzi wa figo. Akizungumza mjini Eldoret mapema leo, Duale alisema ananuia kutekeleza mapendekezo ya ripoti ya uchungu..