Back to home

Walimu na wahudumu wa bodaboda waandamana huko Garissa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
3h ago
Mamia ya walimu pamoja na wahudumu wa boda boda mjini Garissa wameandamana kukashifu mauaji ya mwalimu mmoja katika kituo cha biashara cha Bula Mzuri viungani mwa mji huo.