Back to home

Mamia ya watu waachwa bila makao kufuatia mafuriko Trans Nzoia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 10, 2025
2h ago
Mamia ya watu walioathirika na mafuriko katika eneo la Kapomboi kaunti ya Trans Nzoia sasa wanakabiliwa na hatari ya mlipuko wa magonjwa. Wakazi hao wamelazimika kuishi kwenye nyumba zilizojaa maji taka na matope kwa kukosa eneo mbadala la kuhamia baada ya nyumba zao kufurika.