Back to home
Wafanyibiashara wadogo katika kaunti ya Nyamira wapokea mafunzo maalum
video
C
Citizen TV (Youtube)November 20, 2025
2h ago
Baadhi ya wafanyabiashara ndogo ndogo katika kaunti ya Nyamira wamepokezwa mafunzo na ujuzi wa kuimarisha biashara zao, kama njia moja ya kujiimarisha kiuchumi na kubuni nafasi za ajira nchini.





