Back to home
Waziri Ogamba afungua mtandao wa kuwawezesha wanafunzi kubadilisha shule walizowekwa za gredi ya 10
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 24, 2025
2h ago
Waziri wa elimu Julius Migos amefungua rasmi mtandao wa kuwawezesha wazazi na wanafunzi wa gredi ya tisa kuchagua tena au kubadilisha shule walizowekwa za gredi ya 10, ndani ya siku saba.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Ke
Advertisement
Advertisement





