Back to home
Zaidi ya akina mama 300 kutoka Nandi wahitimu kwenye mafunzo ya mwaka 1 ya ushonaji wa nguo
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 24, 2025
3h ago
Zaidi ya akina mama 300 kutoka kaunti ya Nandi wamehitimu kwenye mafunzo ya mwaka mmoja ya ushonaji wa nguo, vikapu na bidhaa zingine katika juhudi za kujiimarisha kiuchumi na kukabiliana na dhuluma za kijinsia.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today an
Advertisement
Advertisement





