Back to home
Wasomi watumia michezo kuhamasisha jamii kuzingatia elimu huko Ilodokilani
video
C
Citizen TV (Youtube)December 24, 2025
2h ago
Huku ripoti wa wizara ya elimu ikionyesha kuwa Idadi kubwa ya Vijana kutoka Ilodokilani, Kajiado Magharibi wanaendelea kukatiza masomo wakiwa na umri mdogo, Wasomi katika eneo hilo wameanza kutumia Michezo kuhamasisha vijana kuhusu umuhimu wa Elimu.
Advertisement
Advertisement





