Back to home
Wanaume wawili wauawa kwenye vitongoji viwili tofauti Mwea
video
C
Citizen TV (Youtube)December 24, 2025
2h ago
Maafisa wa polisi kaunti ya Kirinyaga wameanzisha uchunguzi kubaini kilicho sababisha vifo vya wanaume wawili Katika vitongoji viwili tofauti eneo la Mwea.
Advertisement
Advertisement





